HOME | CONTACT | SUPPORTERS | REGISTER


Kidscount

Kila mtoto ni muhimu

Karibuni hapa kidscount - tovuti kusaidia wazazi juu ya yote ambae inalingana na utoto. Tovuti hii ina habari ambaye inaweza kukusaidia kulea watoto ambao wako na furaha na imani.

Kukuwa mzazi ni kazi muhimu zaidi kuliko yeyote ingine.  Pia kazi hii itakaa maisha yote. 

Hutakiwi kujuwa mambo yote.  Watoto wanaweza kufunzwa na wazazi na pia wazazi wanaweza kufunzwa na watoto.  Tukijaribu kuelewa watoto zaidi, tutaweza kuwasaidia kukua na kuendelea.

Tovuti hii ni rahisi kutumia.  Unaweza kusoma mambo yanayovutia juu ya uzazi kutoka orodha ya mada mengi.  Pia unaweza kusikiliza maneno kwa jambo kadha ukifinya kitufe cha rangi kijani. Ukitaka kupiga chapa ukurasa mmoja, finya kitufe cha chapa (printer).

 

Kufikiria juu ya kukua mzazi

Kuelewa maarifa ya watoto

Kuelewa vile watoto wanakua

Kuitikia watoto

Find help